Wikiversity
Yaliyomo
Mandhari
Mutsuhito (3 Novemba 1852 – 30 Juni 1912) alikuwa mfalme mkuu wa 122 (Tenno) wa Japani. Pia anajulikana kama Meiji. Mwaka wa 1867 alimfuata baba yake, Komei, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake Yoshihito.
Angalia pia
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mutsuhito kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa . |