Wikiversity
Yaliyomo
Mandhari
Mji wa Dunedin (New Zealand) | |
Mkoa | Otago |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 45°52′0″ - Longitudo: 170°30′0″E |
Eneo | 3,314 km² |
Wakazi | 116,600 (mji pekee) 124,800 (pamoja na rundiko) |
Msongamano wa watu | watu 37.7 (mji pekee) kwa km² |
Simu | +64 (nchi), 03 (mji) |
Mahali | |
Dunedin (Kimaori: Ōtepoti) ni mji wa New Zealand mwenye wakazi 116.600 (2010). Iko upande wa kusini wa kisiwa. Eneo lake ni 3,314 km². Mji ulinazishwa mwaka 1848. Upande wa mashariki ni maji ya Pasifiki.
Viungo vya nje
- (Kiingereza) Tovuti rasmi