Statistical Genetics Wiki
Yaliyomo
Indiana | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Indianapolis | ||
Eneo | |||
- Jumla | 94,321 km² | ||
- Kavu | 92,895 km² | ||
- Maji | 1,427 km² | ||
Tovuti: http://www.in.gov/ |
Indiana ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mkubwa ni Indianapolis. Imepakana na Michigan, Ohio, Kentucky, na Illinois. Iko kwenye mwanbao wa Ziwa Michigan.
Jimbo lina wakazi wapatao 6,376,792 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 94,321.
Viungo vya Nje
State of Indiana Official Website
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Indiana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa . |