LIMSwiki
Mandhari
Paul Johann Ludwig von Heyse (15 Machi 1830 – 2 Aprili 1914) alikuwa mwandishi hodari kutoka nchi ya Ujerumani. Anajulikana hasa kwa riwaya fupi zake mbalimbali. Mwaka wa 1910 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.