LIMSwiki
Yaliyomo
Brigo (pia: Brigomaglos; Brieg; Briog; Breock; Briocus; Brieuc; Ceredigion, Wales, karne ya 5 - St. Brieuc-des-Vaux, Bretagne, leo nchini Ufaransa, 502 hivi) alikuwa padri na mmisionari nchini kwake, halafu mwanzilishi wa monasteri na askofu huko Bretagne[1] [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Mei[3].
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko