LIMSwiki
Mandhari
Bingwa ni mtu apataye matokeo bora kuliko wengine katika fani fulani. Kwa ujumla, ni mtu mwenye maarifa mbalimbali au uwezo unaotokana na utafiti, uzoefu au kazi katika eneo fulani la masomo, michezo n.k. Hivyo anajulikana kuwa chanzo cha kutegemewa kwa mbinu au ujuzi ambao hutumika kutoa maamuzi sahihi na maadilifu.