Posted on July 23, 2020 By Robert Payne
Asia ya Kaskazini ni kanda ya kaskazini ya bara la Asia. Kuna maelezo ya kutofautiana lakini kwa jumla ni sehemu kubwa ya Siberia au sehemu ya Kiasia ya Urusi.
Wengine wanahesabu Mongolia humo.
by Robert Payne
Related Posts