LIMSpec Wiki
Yaliyomo
Mandhari
Biva | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Biva wa Amerika (Castor canadensis)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 2:
|
Biva (kutoka Kiingereza: beaver, jina la kisayansi: Castor) ni wanyama wagugunaji wa Amerika ya Kaskazini, Ulaya na Asia.
Spishi
- Castor canadensis, Biva wa Amerika (North American Beaver)
- Castor fiber, Biva wa Ulaya (European Beaver)
Picha
-
Biva wa Ulaya
-
Lambo la biva