LIMSpec Wiki

Hariri viungo
ABBA registered logo
ABBA
ABBA mnamo 1974, kutoka kushoto kwenda kulia ni: Benny Andersson, Anni-Frid Lyngstad (Frida), Agnetha Fältskog, na Björn Ulvaeus
Taarifa za awali
Pia anajulikana kamaBjörn & Benny, Agnetha & Anni-Frid
ChimbukoStockholm, Sweden
Miaka ya kazi1972–1982
StudioMetal, Polydor, Atlantic, Universal, Epic, Vogue, RCA, PolyGram, Sunshine (Rhodesia/Zimbabwe), Ariston/Dig It (Italy)
Agnetha Fältskog
Björn Ulvaeus
Benny Andersson
Anni-Frid "Frida" Lyngstad

ABBA lilikuwa kundi la muziki wa aina ya pop kutoka nchini Uswidi, ambao waliwika sana kunako miaka ya 1970 na 1980. Jina la "ABBA" lilitokana na kila herufi ya kwanza ya jina la mwanakundi:

  • Agnetha Fältskog
  • Björn Ulvaeus
  • Benny Andersson, na
  • Anni-Frid Lyngstad.

ABBA walikuja kuwa maarufu sana baada ya kushinda mwaka 1974 katika mashindano ya kutafuta nyimbo bora za nchi za Ulaya (Eurovision Song Contest). Walikuwa na vibao vingi tu malidhawa. Vibao kama vile "Dancing Queen", "SOS", "Mamma Mia", na "Waterloo". Karibuni nyimbo zao zote zilikuwa zikitungwa na Ulvaeus na Andersson.

Kundi lilikuwa kuvunjika mnamo mwaka wa 1982, lakini bado vibao viliendelea kuwa maarufu. Nyimbo moja ya ABBA ilibahatika kuonekana katika baadhi ya filamu (ikiwemo filamu ya Kiaustralia-The Adventures of Priscilla, Queen of the Desert na Muriel's Wedding.

Filam, video

Viungo vya nje