LabLynx Wiki

Mbuga tambarare kati ya Singida na Tabora, Tanzania.

Tambarare katika jiografia ni eneo kubwa la ardhi bila kilima wala mlima.

Maeneo mengi ya namna hiyo yanafaa zaidi kwa kilimo kuliko safu au milima.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.