LabLynx Wiki
Mandhari
Bartholomeus van der Helst (1613 - 1670) alikuwa mchoraji kutoka Uholanzi. Yeye alizaliwa katika mji wa Haarlem na alikufa mjini Amsterdam. Kati ya picha zake mashuhuri sana ni Gerard Andriesz Bicker.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: