LabLynx Wiki
Yaliyomo
Tarehe 7 Machi ni siku ya 66 ya mwaka (ya 67 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 299.
Matukio
Waliozaliwa
- 1693 - Papa Klementi XIII
- 1857 - Julius Wagner-Jauregg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1927
- 1929 - Dan Jacobson, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1934 - Willard Scott, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1938 - David Baltimore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1975
- 1970 - Rachel Weisz, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
Waliofariki
- 322 KK - Aristoteli, mwanafalsafa kutoka Ugiriki wa Kale
- 1274 - Mtakatifu Thomas Aquinas, O.P., padri mwanateolojia na mwalimu wa Kanisa kutoka Italia
- 1724 - Papa Innocent XIII
- 1875 - John Edward Gray, mtaalamu wa zoolojia kutoka Uingereza
- 1932 - Aristide Briand, Waziri Mkuu wa Ufaransa na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1926
- 1954 - Otto Diels, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1950
- 1997 - Edward Purcell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952
- 1999 - Stanley Kubrick, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 2006 - Ali Farka Toure mwanamuziki kutoka nchi ya Mali
- 2006 - Gordon Parks, msanii wa Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Perpetua na Felisita, Saturus, Saturninus, Revokatus, Sekondinus, Eubulo wa Kaisarea, Basili, Eujeni na wenzao, Paulo Mnyofu, Gaudioso wa Brescia, Ardo Smaragdo, Paulo wa Prusa, Teresa Margerita Redi, Maria Antonia wa Mt. Yosefu, Yohane Mbatizaji Nam Chong-sam, Simeoni-Fransisko Berneux, Yusto Ranfer, Ludoviko Beaulieu, Petro Henri Dorie n.k.