LabLynx Wiki
Yaliyomo
Mandhari
Tarehe 29 Aprili ni siku ya 119 ya mwaka (ya 120 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 246.
Matukio
- 1670 - Uchaguzi wa Papa Klementi X
Waliozaliwa
- 1876 - Zauditu, Malkia mtawala wa Uhabeshi
- 1893 - Harold Urey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1934
- 1899 - Duke Ellington, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 1901 - Hirohito, Mfalme Mkuu wa Japani
- 1916 - Lars Korvald, mwanasiasa kutoka Norwei
- 1941 - Yusef Komunyakaa, mshairi kutoka Marekani
Waliofariki
- 1380 - Mtakatifu Katerina wa Siena, bikira na mwalimu wa Kanisa Mdominiko nchini Italia
- 1951 - Ludwig Wittgenstein, mwanafalsafa kutoka Austria
- 1980 - Alfred Hitchcock, mwongozaji wa filamu kutoka Uingereza
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Katerina wa Siena, Tukiko, Torpesi, Severo wa Napoli, Hugo wa Cluny, Achadi wa Mt. Vikta, Antoni Kim Song-u n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today