LabLynx Wiki
Yaliyomo
Mandhari
Tarehe 27 Machi ni siku ya 86 ya mwaka (ya 87 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 279.
Matukio
Waliozaliwa
- 1416 - Mtakatifu Fransisko wa Paola, mtawa kutoka Italia
- 1650 - Charlotte Amalie, malkia wa Denmark
- 1845 - Wilhelm Conrad Röntgen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1901
- 1847 - Otto Wallach, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1910
- 1923 - Louis Simpson, mshairi kutoka Marekani
- 1933 - Peter Mansfield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2003
- 1941 - Ivan Gašparovič, Rais wa Slovakia (2004-2014)
- 1942 - John Sulston, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2002
- 1963
- 1969 - Mariah Carey, mwanamuziki wa Marekani
Waliofariki
- 1191 - Papa Klementi III
- 1378 - Papa Gregori XI, ma mwisho kutoka Ufaransa
- 1714 - Charlotte Amalie, malkia wa Denmark
- 1967 - Jaroslav Heyrovsky, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1959
- 1968 - Yuri Gagarin, rubani Mrusi na mtu wa kwanza aliyefika katika anga-nje
- 2003 - Paul Zindel, mwandishi kutoka Marekani
- 2007 - Paul Lauterbur, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2003
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Rupert wa Salzburg n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 3 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today