LabLynx Wiki
Yaliyomo
Mandhari
Tarehe 27 Agosti ni siku ya 239 ya mwaka (ya 240 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 126.
Matukio
Waliozaliwa
- 1809 - Hannibal Hamlin, Kaimu Rais wa Marekani (1861-1865)
- 1865 - Charles Gates Dawes, mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1925
- 1874 - Carl Bosch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1931
- 1908 - Lyndon B. Johnson, Rais wa Marekani (1963-1969)
- 1915 - Norman Ramsey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989
- 1928 - Mangosuthu Buthelezi, kiongozi wa Wazulu na mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 1928 - Osamu Shimomura, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2008
- 1950 - Charles Fleischer, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
- 827 - Papa Eugenio II
- 1394 - Chokei, mfalme mkuu wa Japani (1368-1383)
- 1590 - Papa Sixtus V, O.F.M.
- 1958 - Ernest Orlando Lawrence, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1939
- 1965 - Le Corbusier, msanifu majengo kutoka Ufaransa
- 1975 - Haile Selassie, shemasi na Mfalme Mkuu wa mwisho wa Ethiopia
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Monika, Rufo wa Capua, Marselino, Manea na wenzao, Narno wa Bergamo, Poemen, Liseri, Sesari wa Arles, Yohane wa Pavia, Gebardi, Guarino wa Sion, Amedeo wa Lausanne, Daudi Lewis n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-16 at Archive.today