LabLynx Wiki
Yaliyomo
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 20 |
Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980 |
Miaka ya 1990 |
Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
2001 |
2002 |
2003 |
2004 |
2005
| 2006
| 2007
| 2008
| 2009
| ►
| ►►
Jan.
| Feb.
| Mac.
| Apr.
| Mei
| Jun.
| Jul.
| Ago.
| Sep.
| Okt.
| Nov.
| Des.
Makala hii inahusu mwaka 2005 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
- 30 Desemba - Edward Ngoyayi Lowasa amechaguliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania.
Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
Waliofariki
- 20 Januari - Per Borten, mwanasiasa wa Norwei
- 10 Februari - Arthur Miller, mwandishi kutoka Marekani
- 6 Machi - Hans Bethe (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1967)
- 2 Aprili - Mtakatifu Papa Yohane Paulo II (1978-2005), Papa wa kwanza kutoka Poland
- 5 Aprili - Saul Bellow (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1976)
- 9 Juni - Richard Eberhart, mshairi kutoka Marekani
- 20 Juni - Jack Kilby, mhandisi umeme kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2000
- 27 Juni - George Lilanga, msanii Mmakonde kutoka Tanzania
- 28 Juni - Geoffrey William Griffin, mkurugenzi mwanzilishi wa Shule ya Upili ya Wavulana ya Starehe, Kenya
- 6 Julai - Claude Simon (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1985)
- 30 Julai - John Garang, Rais wa kwanza wa Sudan Kusini
- 16 Agosti - Frere Roger (Roger Schutz), mtawa kutoka Uswisi, aliuawa kanisani na mwanamke aliyeharibika kiakili.
- 27 Septemba - Ronald Golias, mwigizaji wa filamu kutoka Brazil
- 2 Oktoba - August Wilson, mwandishi kutoka Marekani
- 14 Oktoba - Poxi Presha, mwanamuziki kutoka Kenya
- 24 Oktoba - Rosa Parks, mwanaharakati dhidi ya ubaguzi wa rangi
- 28 Oktoba - Richard Smalley (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1996)
- 7 Novemba - John Patrick, mwandishi kutoka Marekani
- 16 Novemba - Henry Taube, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1983
- 26 Desemba - Vincent Schiavelli, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani