IHE Wiki
Yaliyomo
Mandhari
Millard Fillmore | |
Picha ilichukuliwa na Mathew Brady, mnamo 1855-65 | |
Muda wa Utawala Julai 9, 1850 – Machi 4, 1853 | |
mtangulizi | Zachary Taylor |
aliyemfuata | Franklin Pierce |
tarehe ya kuzaliwa | Moravia, New York, Marekani | Januari 7, 1800
tarehe ya kufa | 8 Machi 1874 (umri 74) Buffalo, New York, Marekani |
mahali pa kuzikiwa | Forest Lawn Cemetery Buffalo, New York |
ndoa |
|
watoto | 2 |
Fani yake | Wakili |
signature |
Millard Fillmore (7 Januari 1800 – 8 Machi 1874) alikuwa Rais wa 13 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1850 hadi 1853. Alianza kama Kaimu Rais wa Rais Zachary Taylor mwaka wa 1849 na kumfuata wakati wa kifo chake.
Tazamia pia
}}