IHE Wiki
Yaliyomo
Mazishi ni taratibu za kuheshimu na kuzika maiti ya mtu au mabaki yake.
Taratibu hizo zinategemea dini na mila za wahusika, hivyo zinatofautiana sana[1].
Mara nyingi mazishi yanaendana na sala kwa ajili ya marehemu.
Kama sivyo kuna kumkumbuka na kukumlilia pamoja na kufariji wafiwa.
Mazishi ni ya zamani sana, inawezekana yalikuwepo kabla ya Homo sapiens kutokea, miaka 300,000 iliyopita.[2][2][3]
Tanbihi
- ↑ Kwa taratibu za Kanisa Katoliki kwa Kiswahili, taz. Misale ya Waamini, toleo la mwaka 2021, uk. 1562-1600
- ↑ 2.0 2.1 "When Burial Begins", British Archaeology, issue 66, August 2002, found at British Archaeology website Archived 2 Juni 2007 at the Wayback Machine.. Accessed September 4, 2008.
- ↑ Sommer, J. D. (1999). "The Shanidar IV 'Flower Burial': a Re-evaluation of Neanderthal Burial Ritual". Cambridge Archaeological Journal. 9 (1): 127–129. doi:10.1017/S0959774300015249. ISSN 0959-7743.