IHE Wiki
Yaliyomo
Mandhari
Tarehe 21 Oktoba ni siku ya 294 ya mwaka (ya 295 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 71.
Matukio
Waliozaliwa
- 1675 - Higashiyama, Mfalme Mkuu wa 113 wa Japani (1687-1709)
- 1833 - Alfred Nobel, mhandisi Msweden, na mwanzishaji wa Tuzo ya Nobel
- 1917 - Dizzy Gillespie, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1944 - Jean-Pierre Sauvage, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2016
- 1975 - Henrique Hilário, mchezaji wa mpira kutoka Ureno
- 1982 - Matt Dallas, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
- 1500 - Go-Tsuchimikado, mfalme mkuu wa Japani (1464-1500)
- 2012 - George McGovern, mwanasiasa kutoka Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Dasio, Zotiko na Kayo, Ursula na wenzake, Hilarioni wa Gaza, Malko wa Maronia, Severini wa Bordeaux, Silinia, Viatori wa Lyon, Vendelini wa Trier, Petro Yu Tae-chol, Laura wa Mt. Katerina n.k.