Clinfowiki
Usawa wa wastani wa maji ya bahari hutumika kama kipimo cha kulinganisha kimo cha mahali duniani toka usawa wa bahari. Hali halisi usawa wa bahari hubadilika kati ya mahali na mahali na muda hadi muda. Kwa hiyo kuna kadirio la wastani wa vipimo hivyo inayotumika kuwa usawa bahari wastani.
Kawaida hutumika katika sentensi kama: "Nairobi iko mita 1644 juu ya usawa wa bahari." Au: "Ndege inasafiri mita 11.000 juu ya usawa wa bahari" Kifupi chake: UB