Clinfowiki

Hariri viungo

Tarehe 1 Februari ni siku ya thelathini na mbili ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 333 (334 katika miaka mirefu).

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Trifoni wa Frigia, Severo wa Ravenna, Paulo wa Trois-Chateaux, Brigit wa Kildare, Orso wa Aosta, Agripano, Sigebati III, Ramon wa Fitero, Yohane wa Saint-Malo, Verdiana wa Castelfiorentino, Henri Morse, Paulo Hong Yong-ju na wenzake n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 1 Februari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .