Bioinformatics Wiki
Mandhari
Uvamizi (pia: uvamiaji, kutoka kitenzi "kuvamia"; Kiing. invasion) ni tendo la kuingia mahali kwa nguvu na mara nyingi kwa kushtukiza hasa kwa lengo la kumiliki eneo au walau kutwaa mali iliyopo.
Unaweza kufanywa na mtu binafsi au na umati, kama vile katika vita vingi.