Bioinformatics Wiki
Yaliyomo
Mandhari
Mchezaji ni mwanamume au mwanamke anayeshiriki katika mchezo fulani kwa maslahi yake maalumu.
Mfano:
- Mchezaji wa mpira wa miguu
- Mchezaji wa mpira wa mikono
- Mchezaji wa mpira wa kikapu
- Mchezaji wa mpira wa wavu
Picha
-
Mchezaji wa mpira wa kikapu
-
Mchezaji wa mpira wa mikono
-
Mchezaji wa mpira wa miguu maarufu kwa jina la Lionel Messi
-
Mchezaji maarufu wa mpira wa miguu, Cristiano Ronaldo