Bioinformatics Wiki
Yaliyomo
Kesi (kutoka Kiingereza: case kwa maana ya trial) ni utaratibu wa kuamua kisheria kati ya pande mbili zinazogombana au zinazoshindania kitu. Kwa ajili hiyo kuna mamlaka inayotumia ushahidi.
Siku hizi kesi nyingi zinaendeshwa na hakimu katika mahakama.
Kati ya kesi maarufu zaidi katika historia, ipo ile ya Yesu ambayo ilikuwa pacha: kwanza ya kidini mbele ya kuhani mkuu na baraza la Israeli, halafu ya kisiasa mbele ya liwali Ponsyo Pilato wa Dola la Roma. Hatimaye alipewa adhabu ya kifo.
Tanbihi
Viungo vya nje
- Famous trials by the UMKC