Posted on July 23, 2020 By Robert Payne
Hiari ni uwezo wa mtu kufanya uamuzi kuhusu tendo lolote bila kulazimishwa wala kushawishiwa na mwingine yeyote. Ndiyo msingi wa kupaswa kuwajibika kwa matendo yake na kuchukua jukumu la matokeo ya tendo hilo kama yatakuwa mazuri au mabaya baadaye.
by Robert Payne
Related Posts