Bioinformatics Wiki
Yaliyomo
Mandhari
Tarehe 7 Mei ni siku ya 127 ya mwaka (ya 128 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 238.
Matukio
- 1342 - Uchaguzi wa Papa Klementi VI
Waliozaliwa
- 1711 - David Hume, mwanafalsafa wa Uskoti
- 1833 - Johannes Brahms, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1840 - Pyotr Ilyich Tchaikovsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1861 - Rabindranath Tagore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1913
- 1867 - Wladyslaw Reymont, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1924
- 1892- Archibald MacLeish, mshairi kutoka Marekani
- 1939 - Sidney Altman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1989
- 1967 - Fuya Godwin Kimbita, mwanasiasa wa Tanzania
- 1968 - Traci Lords
- 1976 - Carrie Henn, mwigizaji kutoka Marekani
Waliofariki
- 1998 - Allan Cormack, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1979
- 2011 - Willard Boyle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2009
Sikukuu
- Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Domitila, Flavi na wenzake, Seneriko, Yohane wa Beverley, Antoni wa Kiev, Rosa Venerini, Augustino Roscelli n.k.
- Tarehe 7 Mei kwa Waorthodoksi ni sikukuu ya mtakatifu Nil Sorsky.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today