Bioinformatics Wiki
Yaliyomo
Tarehe 19 Septemba ni siku ya 262 ya mwaka (ya 262 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 103.
Matukio
- 1983 - Nchi ya Saint Kitts na Nevis inapata uhuru kutoka Uingereza
Waliozaliwa
- 1911 - William Golding, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1983
- 1931 - Brook Benton, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1933 - Ingrid Jonker, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1967 - Alexander Karelin, mwanariadha kutoka Urusi
- 1971 - Sanaa Lathan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
- 1339 - Go-Daigo, mfalme mkuu wa Japani (1318-1339)
- 1881 - James A. Garfield, Rais wa Marekani (1881)
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Januari wa Napoli, Trofimo wa Efeso, Peleo, Nilo na wenzao, Eustoki wa Tours, Sekwani, Mariano wa Bourges, Goeriki, Theodori wa Canterbury, Pomposa, Lambati wa Freising, Siriako wa Cosenza, Arnulfo wa Gap, Maria wa Msaada, Alfonso wa Orozco, Charles Hyon Songmun, Maria Guliema Emilia n.k.