Trends in LIMS
Yaliyomo
Mandhari
Tarehe 1 Oktoba ni siku ya 274 ya mwaka (ya 275 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 91.
Matukio
Waliozaliwa
- 208 - Alexander Severus, Kaisari wa Dola la Roma
- 1207 - Henry III, Mfalme wa Uingereza
- 1685 - Kaisari Karoli VI wa Ujerumani
- 1924 - Jimmy Carter, Rais wa Marekani (1977-1981)
- 1947 - Aaron Ciechanover, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2004
- 1969 - Marcus Stephen, Rais wa Nauru (2007-2011)
- 1971 - Song Il-gook, mwigizaji filamu kutoka Korea Kusini
Waliofariki
- 1404 - Papa Boniface IX
- 1985 - Elwyn Brooks White, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Teresa wa Mtoto Yesu, Piato, Verisimo, Masima na Julia, Romano Mshairi, Niseti wa Trier, Bavo, Wasnulfi, Jeradi Edwards n.k.