Trends in LIMS
Yaliyomo
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| ►
◄◄ |
◄ |
1911 |
1912 |
1913 |
1914 |
1915
| 1916
| 1917
| 1918
| 1919
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1915 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 15 Februari - Robert Hofstadter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1961
- 16 Februari - Elisabeth Eybers, mwandishi wa Afrika Kusini
- 28 Februari - Peter Medawar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960
- 7 Aprili - Billie Holiday, mwanamuziki Mmarekani
- 12 Mei - Frere Roger (Roger Schutz)
- 27 Mei - Herman Wouk, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1952
- 10 Juni - Saul Bellow, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1976
- 15 Juni - Thomas Weller, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954
- 1 Julai - Jean Stafford, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 4 Julai - Susanne Wenger, msanii kutoka Austria na kuhani wa Wayoruba nchini Nigeria
- 28 Julai - Charles Townes, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964
- 27 Agosti - Norman Ramsey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989
- 23 Septemba - Clifford Shull, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1994
- 17 Oktoba - Arthur Miller, mwandishi kutoka Marekani
- 19 Novemba - Earl Sutherland, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1971
- 29 Novemba - Billy Strayhorn, mwanamuziki wa Marekani
- 30 Novemba - Henry Taube, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1983
- 7 Desemba - Eli Wallach, mwigizaji kutoka Marekani
- 19 Desemba - Édith Piaf, mwimbaji wa kike kutoka Ufaransa
- 26 Desemba - Teofilo Kisanji, askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania
Waliofariki
- 20 Agosti - Paul Ehrlich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1908
Wikimedia Commons ina media kuhusu: