Trends in LIMS
Yaliyomo
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| ►
◄◄ |
◄ |
1889 |
1890 |
1891 |
1892 |
1893
| 1894
| 1895
| 1896
| 1897
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1893 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 12 Februari - Fred Albert Shannon, mwanahistoria kutoka Marekani
- 20 Februari - Russel Crouse, mwandishi kutoka Marekani
- 29 Aprili - Harold Urey (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1934)
- 24 Juni - Jan Matejko, mchoraji kutoka Poland
- 16 Septemba - Albert Szent-Györgyi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1937)
- 10 Novemba - John P. Marquand, mwandishi kutoka Marekani
- 13 Novemba - Edward Doisy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1943)
Waliofariki
- 17 Januari - Rutherford B. Hayes, Rais wa Marekani (1877-1881)
- 6 Novemba - Pyotr Ilyich Tchaikovsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
bila tarehe
- Frances Colenso, mke wa Askofu John William Colenso na mwandishi wa barua nyingi