Search for LIMS content across all our Wiki Knowledge Bases.
Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
Kwa kuwatambua wote wawili kuwa wa milele lakini si Baba, wanateolojia wengi, hasa mababu wa Kanisa, walikiri kuwa zote tatu ni nafsi tofauti za Mungu pekee.
Hata hivyo Waario na wengineo hawakukubali dogma hizo,[5] hivyo asilimia ndogo ya Wakristo imeendelea kukataa kusadiki fumbo la Utatu, na kukiri umoja wa nafsi ya Mungu,[6][7][8][9] ingawa kwa kutofautiana wao kwa wao.[10]
↑von Harnack, Adolf (1894-03-01). "History of Dogma". Iliwekwa mnamo 2007-06-15. [In the 2nd century,] Jesus was either regarded as the man whom God hath chosen, in whom the Deity or the Spirit of God dwelt, and who, after being tested, was adopted by God and invested with dominion, (Adoptionist Christology); or Jesus was regarded as a heavenly spiritual being (the highest after God) who took flesh, and again returned to heaven after the completion of his work on earth (pneumatic Christology)
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wasiosadiki Utatu kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .