Knowledge Base Wiki

Search for LIMS content across all our Wiki Knowledge Bases.

Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.

Upauzana wa Gnome2 kwenye Linux.

Katika utarakilishi, upauzana (kwa Kiingereza: taskbar) ni elementi ya kiolesura michoro cha mtumiaji inayoonyesha programu zinazotumika kwenye tarakilishi husika.

Upauzana unaweza kuwa upauzana unaoelea (kwa Kiingereza: floating toolbar) au upauzana egeshi (kwa Kiingereza : docked toolbar).

Marejeo

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .