Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
Ukinzani ni zuio la upitaji wa umeme.
Kifaa kinachotoa ukinzani kwenye sakiti huitwa kikinza au kikinzani [1]; pia: kikinzanishi[2] au resista [3].
Ukinzani hupimwa kwa omu mita wakati kikinza hupimwa kwa omu.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ukinzani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa . |