Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
Sune Bergström (10 Januari 1916 – 15 Agosti 2004) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uswidi. Hasa alichunguza tezi kibofu. Mwaka wa 1982, pamoja na Bengt Samuelsson na John Vane alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.