Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
Nil Sorsky (takriban 1433 – 1508) alikuwa mmonaki kutoka nchi ya Urusi. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nikolay Maykov.
Aliandika vitabu vya maisha ya kiroho.
Ametambuliwa kuwa mtakatifu ndani ya Kanisa la Kiorthodoksi, hasa kule Urusi.