Knowledge Base Wiki

Search for LIMS content across all our Wiki Knowledge Bases.

Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.

Mjukuu ni mtoto wa mwanao, bila kujali jinsia yako wala yake. Yeye anakuita babu au bibi.[1]

Mtoto wake tena anaitwa kitukuu, mtukuu au kusukuu.[1]

Katika Kiswahili ni maarufu mithali inayosema, "Majuto ni mjukuu", kwa maana mara nyingi jambo la hatari ulifanyapo kwa wakati husika, waweza kujuta baadaye.[2]

Marejeo

  1. 1.0 1.1 "eLimu | Msamiati: Nasaba/ Ukoo". learn.e-limu.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-22. Iliwekwa mnamo 2022-04-12.
  2. Ngii, Jacline (2010-12-13). "Majuto Ni Mjukuu". Kiswahili Story Database (0).