Search for LIMS content across all our Wiki Knowledge Bases.
Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
Papyrus P52, iliyoandikwa kwa Kigiriki mwaka 125 hivi, inahesabika kuwa andiko la zamani zaidi kutufikia kuhusu Yesu. Ina sehemu za Injili ya Yohane; mbele 18:31-33, nyuma 18;37-38.
Kati ya vitabu vyote vya namna hiyo, Ukristo tangu karne ya 2 umekubali vile vinne vya kwanza tu, ambavyo viliandikwa wakati wa Mitume wa Yesu kuwepo duniani.
Injili tatu za kwanza zinafanana kwa kiasi kikubwa katika mpangilio, habari na maneno yenyewe; kwa sababu hiyo zinaitwa Injili Ndugu. Kadiri ya wataalamu wengi mfanano unatokana na kwamba Injili ya Marko ilitumiwa na waandishi wa zile nyingine.
Ile ya Mtume Yohane ni ya pekee na inategemea ushahidi wa Mtume huyo ambaye alipendwa zaidi na Yesu akamfuata kiaminifu hadi msalabani.
Vile vingi vilivyoandikwa kuanzia karne 2 havitumiwi na Kanisa katika kufundisha imani na katika liturujia. Vinaitwa kwa kawaida apokrifa yaani "bandia".
Waislamu wanakiri Injili kuwa iliteremshwa toka mbinguni kwa nabiiIsa, lakini hawakubali vitabu 4 vya Wakristo kama vilivyo.
Beaton, Richard C. (2005). "How Matthew Writes". Katika Bockmuehl, Markus; Hagner, Donald A. (whr.). The Written Gospel. Oxford University Press. ISBN978-0-521-83285-4. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
Hurtado, Larry W. (2005). Lord Jesus Christ: Devotion to Jesus in Earliest Christianity. Wm. B. Eerdmans Publishing. ISBN9780802831675. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
Johnson, Luke Timothy (2010). The Writings of the New Testament — An Interpretation, 3rd ed. Fortress Press. ISBN9781451413281. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
Greek New TestamentArchived 19 Juni 2008 at the Wayback Machine. — the Greek text of the New Testament: specifically the Westcott-Hort text from 1881, combined with the NA26/27 variants.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Injili kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .