Knowledge Base Wiki

Search for LIMS content across all our Wiki Knowledge Bases.

Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.






Heidelberg

Nembo
Heidelberg is located in Ujerumani
Heidelberg
Heidelberg

Mahali pa mji wa Heidelberg katika Ujerumani

Majiranukta: 49°25′0″N 8°43′0″E / 49.41667°N 8.71667°E / 49.41667; 8.71667
Nchi Ujerumani
Jimbo Baden-Württemberg
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 145,642
Tovuti:  www.heidelberg.de
katika Chuo Kikuu cha Heidelberg, kimeanzishwa 1386

Heidelberg ni mji wa Baden-Württemberg nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Neckar. Idadi ya wakazi wake ni takriban 145,000. Mji ulianzishwa 1196.

Tazama pia

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Heidelberg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .