Knowledge Base Wiki

Search for LIMS content across all our Wiki Knowledge Bases.

Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.

Hans Adolf Krebs

Hans Adolf Krebs (25 Agosti 190022 Novemba 1981) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1933, kwa vile wazazi wake walikuwa Wayahudi alilazimishwa kuhamia Uingereza. Hasa alichunguza athari za kikemia ndani ya chembe hai. Mwaka wa 1953, pamoja na Fritz Lipmann alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Mwaka wa 1958 alipewa cheo cha “Sir” cha Uingereza.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hans Krebs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .