Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: One people, one nation, one destiny "Umma moja, taifa moja, mwelekeo wetu" | |||||
Wimbo wa taifa: Dear Land of Guyana, of Rivers and Plains | |||||
Mji mkuu | Georgetown | ||||
Mji mkubwa nchini | Georgetown | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Jamhuri Irfaan Ali Mark Phillips | ||||
Uhuru Kutoka Uingereza Jamhuri |
26 Mei 1966 23 Februari 1970 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
214,970 km² (ya 85) 8.4 | ||||
Idadi ya watu - 2014 kadirio - 2012 sensa - Msongamano wa watu |
735,554 (ya 165) 747,884 3.5/km² (ya 232) | ||||
Fedha | dollar ya Guyana (GYD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .gy | ||||
Kodi ya simu | +592
- |
--Kwa mkoa wa jirani wa Ufaransa angalia makala Guyani ya Kifaransa--
Guyana ni nchi huru katika Amerika Kusini. Imepakana na Suriname upande wa mashariki, na Brazil upande wa kusini na kusini-magharibi halafu na Venezuela upande wa magharibi.
Ni nchi ndogo ya tatu barani.
Mji mkuu ni Georgetown.
Wakazi wengi wana asili ya India (43.5%) na ya Afrika (30.2%). Asilimia 16.7 ni machotara na 9.1 ni Waindio.
Guyana ni nchi pekee katika Amerika Kusini inayotumia Kiingereza kama lugha rasmi. Hata hivyo lugha ya kawaida ni aina ya Krioli ambayo ndiyo lugha ya taifa.
Upande wa dini, wengi (57%) ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, wakifuatwa na Wahindu (28%) na Waislamu (7%).
Nchi na maeneo ya Amerika Kusini |
Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyani ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela |
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Guyana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa . |