Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
Ufalme wa Korea Goguryeo |
---|
|
Mfalme Daemusin wa Goguryeo (4-44, r. 18-44) alikuwa mtawala wa tatu wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea. Mfalme Daemusin aliiongoza Goguryeo ya awali kupitia kipindi cha upanuzi mkubwa wa maeneo, na kuweza kushinda kuchukua vinchi vidogodogo vingi tu na ufalme wenye nguvu wa Dongbuyeo.