Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ujerumani |
Nchi anayoitumikia | Ujerumani |
Jina katika lugha mama | Antonio Rüdiger |
Jina halisi | Antonio |
Jina la familia | Rüdiger |
Tarehe ya kuzaliwa | 3 Machi 1993 |
Mahali alipozaliwa | Berlin |
Ndugu | Sahr Senesie |
Lugha ya asili | Kijerumani |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kijerumani |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | centre-back, Beki |
Muda wa kazi | 2011 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 22 |
Ameshiriki | Copa Mundial 2028, Kombe la Dunia la FIFA 2018, UEFA Euro 2020, Kombe la Dunia la FIFA 2022 |
Ligi | 3. Liga, Bundesliga, Seria A, Ligi Kuu Uingereza, LaLiga |
Tovuti | http://www.antonio-ruediger.com/ |
Antonio Rüdiger (alizaliwa 3 Machi 1993) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Chelsea FC na timu ya taifa ya Ujerumani.
Alianza kazi yake akiwa na klabu ya VfB Stuttgarta katika ligi ya Bundesliga.
Mwaka 2015 alijiunga na klabu ya AS Roma, awali kwa mkopo na mwaka mmoja baadaye kwa ada ya milioni 9.
Alisainiwa na Chelsea mwaka 2017 kwa wastani wa £ 27 milioni.