Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
Alama (kwa Kiingereza "sign"[1]) ni kitu, mchoro, maandishi, kifaa ambacho hutambulisha kitu kingine, tukio, sehemu n.k.
Baadhi yake ni asili, kwa mfano radi ya umeme na dalili za ugonjwa.[2]
Baadhi zimetungwa na binadamu, kwa mfano vituo katika maandishi na vitendo vya mikono wakati wa kuongea.[3]