Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
Tarehe 19 Machi ni siku ya 78 ya mwaka (ya 79 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 287.
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sherehe ya mtakatifu Yosefu, mume wa Bikira Maria; lakini pia kumbukumbu ya mtakatifu Yohane wa Parrano n.k.