Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
Tarehe 19 Aprili ni siku ya 109 ya mwaka (ya 110 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 256.
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Mapaliko na wenzake, Martha binti Pusisi, Joji wa Antiokia, Geroldi, Alfege wa Canterbury, Papa Leo IX n.k.