Makala hii inahusu mwaka 1975 BK (Baada ya Kristo ).
Matukio
Waliozaliwa
19 Januari - Adrian Siaga , mwigizaji filamu kutoka Tanzania
25 Januari - Mia Kirshner , mwigizaji filamu kutoka Kanada
4 Februari - Natalie Imbruglia , mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Australia
15 Machi - Eva Longoria , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
16 Machi - Sienna Guillory , mwigizaji filamu wa Kimarekani kutoka Uingereza
8 Mei - Enrique Iglesias , mwimbaji kutoka Hispania
8 Mei - Mohamed Gulam Dewji , mwanasiasa kutoka Tanzania
24 Mei - Will Sasso , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
25 Mei - Lauryn Hill , mwanamuziki kutoka Marekani
27 Mei - Jadakiss , mwanamuziki kutoka Marekani
4 Juni - Angelina Jolie , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
8 Juni - Michael Buckley , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
23 Juni - Sibusiso Zuma , mchezaji mpira kutoka Afrika Kusini
22 Agosti - Rodrigo Santoro , mwigizaji filamu kutoka Brazil
1 Septemba - Maritza Rodriguez , mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka Colombia
16 Oktoba - Christophe Maé , mwimbaji kutoka Ufaransa
21 Oktoba - Henrique Hilário , mchezaji wa mpira kutoka Ureno
26 Novemba - DJ Khaled , mwanamuziki kutoka Marekani
29 Desemba - Joseph Haule , mwanamuziki wa rap kutoka Tanzania , anayejulikana kama Professor Jay
30 Desemba - Tiger Woods , mchezaji wa Golf kutoka Marekani
Waliofariki
8 Februari - Robert Robinson , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1947
14 Februari - Julian Huxley (mwanabiolojia , na mkurugenzi wa kwanza wa UNESCO )
14 Februari - P. G. Wodehouse
24 Februari - Nikolai Bulganin
25 Februari - Elijah Muhammad , kiongozi wa Nation of Islam nchini Marekani (1934-1975)
13 Machi - Ivo Andric , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1961
26 Juni - Mtakatifu Josemaría Escrivá , padri mwanzilishi wa Opus Dei
27 Agosti - Haile Selassie , Mfalme Mkuu wa Ethiopia
10 Septemba - George Thomson , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937
20 Septemba - Saint-John Perse , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1960
30 Oktoba - Gustav Hertz , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1925
5 Novemba - Edward Tatum , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958
7 Desemba - Thornton Wilder , mwandishi Mmarekani
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: