Makala hii inahusu mwaka 1973 BK (Baada ya Kristo ).
Matukio
Waliozaliwa
1 Aprili - Christian Finnegan , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
23 Aprili - Marcela Pezet , mwigizaji filamu na tamthilia kutoka Mexiko
6 Mei - Nikola Grbić , mchezaji wa mpira kutoka Serbia
30 Mei - Leigh Francis , mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
21 Juni - Juliette Lewis , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
22 Julai - Rufus Wainwright , mwanamuziki kutoka Marekani
26 Julai - Kate Beckinsale , mwigizaji filamu kutoka Uingereza
14 Septemba - Nasir Jones , mwanamuziki kutoka Marekani
13 Oktoba - Sven Constantin Voelpel , mtaalamu wa biashara na umeneja kutoka Ujerumani
22 Oktoba - Ichiro Suzuki , mchezaji wa baseball kutoka Japani
26 Oktoba - Seth MacFarlane , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
12 Novemba - Radha Mitchell , mwigizaji filamu kutoka Australia
14 Novemba - Dana Snyder , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
27 Novemba - Lutricia McNea , mwanamuziki wa Marekani
1 Desemba - Lombardo Boyar , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
11 Desemba - Mos Def , mwanamuziki wa Marekani
13 Desemba - Holly Marie Combs , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
16 Desemba - Scott Storch , mwanamuziki kutoka Marekani
bila tarehe
Waliofariki
22 Januari - Lyndon B. Johnson , Rais wa Marekani (1963 -1969 )
11 Februari - Johannes Hans Daniel Jensen , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963
23 Februari - Dickinson Richards , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956
6 Machi - Pearl S. Buck , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1938
8 Aprili - Pablo Picasso , mchoraji kutoka Hispania
29 Mei - P. Ramlee , mwigizaji wa Malaysia
10 Juni - William Inge , mwandishi Mmarekani (na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer , mwaka wa 1954
8 Agosti - Vilhelm Moberg , mwandishi kutoka Uswidi
12 Agosti - Walter Hess , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949
12 Agosti - Karl Ziegler , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia , mwaka wa 1963
16 Agosti - Selman Waksman , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1952
17 Agosti - Conrad Aiken , mwandishi kutoka Marekani
2 Septemba - J.R.R. Tolkien , mtaalamu wa Kiingereza na mwandishi wa Bwana wa Mapete
21 Septemba - William Plomer , mwandishi wa Afrika Kusini
23 Septemba - Pablo Neruda , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi , mwaka wa 1971
26 Septemba - Samuel Flagg Bemis , mwanahistoria kutoka Marekani
29 Septemba - W. H. Auden , mshairi kutoka Uingereza na Marekani
6 Oktoba - Margaret Wilson , mwandishi kutoka Marekani
16 Oktoba - Gene Krupa , mwanamuziki kutoka Marekani
25 Oktoba - Abebe Bikila , mwanariadha wa Marathon kutoka Uhabeshi
11 Novemba - Artturi Ilmari Virtanen , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1945
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: