Makala hii inahusu mwaka 1918 BK (Baada ya Kristo ).
Matukio
Novemba : Mwisho wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia
Waliozaliwa
23 Januari - Gertrude Elion , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988
12 Februari - Julian Schwinger , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965
3 Machi - Arthur Kornberg , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba wa mw. 1959
16 Machi - Frederick Reines , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1995
9 Aprili - Jørn Utzon , msanifu majengo kutoka Denmark
20 Aprili - Kai Siegbahn , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1981
25 Aprili - Muhammed Said Abdulla , mwandishi wa Tanzania
11 Mei - Richard Feynman , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965
20 Mei - Edward Lewis , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1995
23 Mei – Jackson Bate , mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer , mwaka wa 1964
6 Juni - Edwin Krebs , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1992
18 Juni - Jerome Karle , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1985
14 Julai - Ingmar Bergman , mwongozaji wa filamu kutoka Uswidi
15 Julai - Bertram Brockhouse , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1994
18 Julai - Nelson Mandela (rais mstaafu wa Afrika Kusini , na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani , mwaka wa 1993
29 Julai - Edwin O'Connor , mwandishi kutoka Marekani
31 Julai - Paul Boyer , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1997
13 Agosti - Frederick Sanger , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1958
2 Septemba - Allen Drury , mwandishi Mmarekani , na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer , mwaka wa 1959
8 Septemba - Derek Barton , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1969
27 Septemba - Martin Ryle , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1974
4 Oktoba - Kenichi Fukui , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1981
8 Oktoba - Jens Skou , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1997
16 Oktoba - Louis Althusser , mwanafalsafa wa Ufaransa
9 Novemba - Spiro Agnew , Kaimu Rais wa Marekani
10 Novemba - Ernst Otto Fischer , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973
11 Desemba - Aleksandr Solzhenitsyn , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi , mwaka wa 1970
23 Desemba - Helmut Schmidt , Waziri Mkuu wa Ujerumani (1974-82)
25 Desemba - Anwar Sadat , rais wa Misri , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka 1971
Waliofariki
Wikimedia Commons ina media kuhusu: