Makala hii inahusu mwaka 1916 BK (Baada ya Kristo ).
Matukio
Waliozaliwa
7 Januari - Fernando Sancho , mwigizaji filamu kutoka Hispania
10 Januari - Sune Bergström , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982
12 Januari - Pieter Willem Botha , Waziri Mkuu na Rais wa Afrika Kusini
26 Februari - Jackie Gleason , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
26 Machi - Christian Anfinsen , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
29 Aprili - Lars Korvald , mwanasiasa kutoka Norwei
11 Mei - Camilo Jose Cela , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi , mwaka wa 1989
4 Juni - Robert Furchgott , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1998
8 Juni - Francis Crick , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
11 Julai - Aleksander Prokhorov , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964
5 Agosti - Peter Viereck , mshairi kutoka Marekani
6 Agosti – Richard Hofstadter , mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer , mwaka wa 1956
18 Agosti - Don Keefer , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
25 Agosti - Frederick Robbins , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954
4 Oktoba - Vitali Ginzburg , mwanafizikia kutoka Urusi , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2003
19 Oktoba - Jean Dausset , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980
15 Desemba - Maurice Wilkins , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
Waliofariki
6 Februari - Rubén Darío , mwandishi kutoka Nikaragua
20 Februari - Klas Pontus Arnoldson , mwanasiasa Msweden , na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908
16 Julai - Ilya Mechnikov , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba , mwaka wa 1908
23 Julai - William Ramsay , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1904
4 Septemba - José Echegaray y Eizaguirre , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi , mwaka wa 1904
15 Novemba - Henryk Sienkiewicz , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi , mwaka wa 1905
Wikimedia Commons ina media kuhusu: