Type a search term to find related articles by LIMS subject matter experts gathered from the most trusted and dynamic collaboration tools in the laboratory informatics industry.
Google Play ni jukwaa la kujipatia programu au apps za mfumo wa uendeshaji wa Google Android. Ni duka la mtandaoni kwa ajili ya muziki, vitabu, filamu na progamu zote za Android.
Kabla kuanzishwa kwa Google Play, kulikuwa na maduka ma-4 tofauti ya Google. Kwa leo maduka haya yote yamefungamishwa:
Mnamo tarehe 7 Machi, 2012, Google walitangaza ya kwamba wataziweka huduma hizi zote 4 katika sehemu moja, Google Play.
Programu zilizoko katika Google play huwa za kulipa ama za kuchukua bure. Programu hizi huweza kupakuliwa kwa simu au kifaa kinachotumia mfumo wa Android kama vile Tablet.
Android Market ilianzishwa punde baada ya Apple App Store mnamo tarehe 22 Oktoba 2008.
Kupata programu au vipengele vilivyotajwa hapo juu, mtumiaji afaa kulipa kwa kutumia njia zifuatazo:
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa . |